ENGAU : ELIMU NGAZI YA UJUZI

ENGAU

ENGAU. tunatoa mafunzo maalumu yanayojulikana kwa jina la BEYOND THE SCHOOL yanayo toa elimu ya ngazi ya ujuzi, Pia Zagra Group  tumebobea katika maswala ya computer na ufundi mbalimbali. 

ENGAU ni bobezi katika maswala mazima ya teknologia ya vifaa vya utandawazi na digitali, tulifanya tafiti nchi mzima na kuona changamoto kubwa wanayokabiliana nayo vijana wanaojiunga na vyuo, waajiliwa , wanaotafuta ajira,wahitimu na jamii kwa ujumla ni kutokuwa na taaluma ya kutumia compyuta na ujuzi mbalimbali hali inayowapelekea kukosa ajira na ufanisi katika kazi zao au hata kushindwa kujiajiri na kuwa tegemezi. Hivyo basi Zagra group solutions tumeona tusiwe wachoyo kwa jamii na kuamua kutoa urithi usio haribika kwa vijana wenzetu ili kuipunguzie serikali mzingo na kuleta tija ya utandawazi kwa jamii.

Kozi hizi tunazitoa vituoni kwetu kwa upendeleo mkubwa wa ofa. Mwanafunzi ambaye anaanza kusoma kozi za computer na ufundi mwingine kwa mara ya kwanza atasoma mafunzo ya awali yaani (Basic Course) Kwa ada maalumu iliyoelekezwa na Uongozi.

Na kwa yule anayejiendeleza kwa ujuzi Zaidi atalipia ada ya ofa ya punguzo kabambe kama ilivyo ainishwa katika fomu ya kujiunga.

 

MPANGO KAZI

     Tutaanza kutoa mafunzo  Kwa takribani kwa wanafunzi, wahitimu na na zaidi kwa watumishi na wanachi wote watakao hitaji kupata taaluma hii ya Tehama.


 Wahitimu wa mafunzo haya wote watasajiliwa katika fomu maalumu ili kuchukua rekodi zao kisha kuwasajiri katika mpango kazi wa utoaji huduma za kiufundi katika maeneo yao.


     Tutakuwa na program maalumu za kusoma kupitia APP juu ya kujiongezea ujuzi au pale inapotokea mabadiliko ya kiteknologia husika.


     Kuweka taratibu mbalimbali katika APP yetu ikiwa na maeneo makuu mawili  (a) person APP (b) VIP APP  ambazo zitatoa huduma tofauti katika malipo ya kiufundi.

Mafuzo ya kozi fupi yatakayo tolewa nikama ifuatavyo;

AINA YA KOZI FUPI

1.    Computer course.

2.    Koziya ushonaji (Sewing course).

3.    Kozi ya graphics designing.

4.    Photo and video production.

5.    Computer Maintenance and Printer, photocopy Repair and service

Katika Kozi hizi zote mwanfunzi atasoma kwa vitendo na kwa kiwango cha juu kwani tuna walimu wakutosha wenye ujuzi na waliobobea katika swala la ufundishaji.

Tutashukuru endapo utajumuika nasi


Post a Comment

0 Comments

Ad Code

Responsive Advertisement