ZAGRA GROUP SOLUTIONS LTD ni bobezi katika Swala zima la teknologia ya vifaa vya utandawazi na digitali. ZAGRA GROUP SOLUTIONS imeona fursa kubwa hasa kwa vijana na watumishi wa uma kuingia katika soko la ajira ili kuwawezesha kujitengenezea ajira binafsi ili wajitegemee kiuchumi na kumudu soko la utandawazi Kwa kufanya kazi kisasa kwa kufuata mabadiliko ya utandawazi katika mfumo wa teknologia.