MY STORY



 

Personal Information

FULL NAME:                      Zajomba Joseph Majihi

BIRTH DATE:                      21 June 1990

PLACE OF BIRTH:              Mara,Tanzania

MARITAL STATUS:             Married

SEX  :                                     Male

RESIDENCE:                         Dar as salaam

NATIONALITY:                     Tanzanian

RELIGION:                             Christian

LANGUAGE:                          Swahili&English

PERSONAL CONTACT

PHONE NUMBER:  +255 689654599

E-MAEL: samnikojoseph@gmail.com

 

PROFILE


A self- motivated, hard-working person who is able to use own initiative and work as part of team. An effective communicator at all levels within an organization. Good problem solving and analytical skills in term of doing assigned duties and meeting organization mission and vision

Nilizaliwa na kukulia huko Mara  (Tanzania), sikuzote sikuwa na maono ya kawaida kwa kuhesabia matatizo na kuyapatia ufumbuzi. Nikiwa na umri wa miaka 18, nilihamia Mwanza mara baada ya kuhitimu elimu ya kidato channe. Kwa kipindi cha muda wa miezi sita nikingojea Matokeo ya kidato cha nne. Matokeo yalipo toka mwaka 2009 hayakuwa ya kuniruhusu kuendelea na elimu ya juu, nikamuomba Baba yangu anitafutie shule nipate kurudia lakini haikuwezekana zaidi alinihangaikia katika nafasi ya kupata chuo, lakini pia na chuo haikuwezekana. Kutokana na namna baba alivyo nionesha ushirikano pasipo mafanikio ilinibidi kukata tamaa ya kuendelea na masomo.
Nilijifuza graphics and design, programing, computer science nk. Elimu hii niliyo ipata kwa njia ya mtandao niliegeuza  kuwa sehemu ya biashara yangu

na nilionyesha nia ya kuigeuza kuwa chapa inayotambulika, kutokana na uendeshaji wa biashara hii kienyeji nilikumbana na changamoto nyingi za kupata suluhsho la  ubunifu katika  uwekaji chapa kwa biashara yangu nikitambua kuwa mafanikio hayapatika kiurahisi wala na si kwa muda mfupi na gharama nafuu.

Hitaji langu  kubwa lilikuwa ni ushindani wa soko, nilijitolea kutafuta watu wenye uzoefu na wajuzi wazuri katiaka tasinia. Ili nijenge wigo mpana wa kufahamika. Ilinibidi kuacha biashara yangu nikaenda kujiunga na kampuni ya JML PRODUCTION kama mwajiliwa wa kujitolea, Huko niliweza kujua  muundo wa picha halisi ya biashara yangu. Uzoefu nilioupata huko ulinifanya kuunganisha wabunifu na biashara zinazojitegemea pamoja na watu binafsi wanaotafuta suluhisho ya ubunifu kwa bei nafuu. 

Niliweza kuunda  kikundi  kikubwa cha ubunifu, ZAGRAG. Ndani ya miezi 12 pekee, Ninaamini kuwa ujuzi wangu wa ajabu wa kidijitali na ujuzi wa biashara usioweza kupimika umesababisha ZAGRAG kutambuliwa TAZANIA NZIMA.Kwa sasa, kampuni itakua kwa 20%  ndani ya mwaka ujao. Kufikia sasa, ZAGRA G imesaidia Vijana zaidi ya 1500 katika swala zima la ujuzi ni ajira, tuna  wabunifu wa ubora wa juu na kuanza safari yao ya ujasiriamali. Zaidi ya hayo, ZAGRA G wamehudumia jumuiya/Vikundi vya waasiriamali wadogo na wakubwa kwa kuwainiua kimitaji na ubunifu wenye ushawishi mkubwa .
Kiu yangu nikufikia hatua ya kutunukiwa tuzo kama Mjasiriamali Anayeinuka wa miaka ijayo katika nyanja ya, mwekezaji, mshauri, na muuminifu.
Kando na hili  mimi napenda kujifunza na kukua kila siku





 

Post a Comment

0 Comments

Ad Code

Responsive Advertisement