BARAKOA....

Image
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ameagiza kuanzia sasa watu kuvaa barakoa pale wanapokwenda kufanya manunuzi na shughuli zozote zile, pia kuwepo kwa mita mbili na Biashara zifanyike kwa Take away and delivery.

Post a Comment

0 Comments

Ad Code

Responsive Advertisement