DESTURI YA GOMA KATIKA KUNEMA WALI KWA MTINDO WA KISASA

VIDEO-Kutokana na Ongezeko la watu mijini na vijijini, Jamii imekuwa ikikabiliana na hali halisi ya mabadiliko ya tabia ya nchi hivyo jamii imejitaidi kuenzi mila na desturi zao kwa njia ya kisasa isiyo kuwa na mlolongo mlefu kama zamani. Video hii inaonyesha kuchezwa kwa wali kwa namna ya pekee.
HAYA NI MABADILIKO YA DESTURI YA GOMA KATIKA KUNEMA

Post a Comment

0 Comments

Ad Code

Responsive Advertisement