NAMNA YA KUTUMIA PESA ZA MKOPO



MKOPO NAFUU - Home | Facebook
Namna ya kutumia Pesa za Mkopo Ili kujiepusha na utaifishwaji wa Mali zako.
➡️Hakikisha Una Mladi Wenye Mtaji Unaozidi Mara mbili ya Mkopo Unaoomba. Usijiingize kwenye mkopo wa pesa nyingi wakati Mladi wako unamtaji kidogo. Lazima utafirisika.
➡️Zingatia Lengo Lililo kupelekea Kukopa.. Watu wengi Huweka Malengo Mazuri kwenye fomu zao za mkopo ili kumshawishi mkoeshaji, lakini katika matumizi ya mkopo Huelekeza kwenye mambo mengine. Lazima Utashindwa kulipa deni lako kama ukiwa muongo hata kwa mambo yako mwenyewe.
➡️Usiwe na tamaa. Wakati unapo kuwa Hauna pesa Ndipo unapo kuwa na mtizamo mzuri wa nini unahitaji kufanya, Swali huja, Namna ya kutekeleza wazo lako haswa katika nyaja ya mtaji. njia sahihi unayoiona ya kupata mtaji ni kukopa. Ukisha pata Pesa ya mkopo, Yanakuja mawazo mengine Mengi tena mazuri ila ya muda mfupi, Mawazo haya huja Kukusahaulisha Lengo Kuu. Kosa Nipale Utakapo Amua Kuyafuata.
➡️Usikope Kwa ajili ya Kuanzisha Mladi Bali Kopa Kwa ajili Kuendeleza Mladi.

Post a Comment

0 Comments

Ad Code

Responsive Advertisement