FURAHA YA MOYO WA MWANAMKE
Head letter |
Kanisa La Kawe Pentecostal asembles of God (KPC) limeanzisha huduma mpya ya
ya wanawake washirika na wasiokuwa washirika ili kuitangaza kazi ya Mungu kwa
watu wote. huduma Hiyo imepewa Jina la FURAHA YA MOYO WA MWAMAMKE (FMM)
"Tumelenga kuifikia Jamii yote kwa ujumla ili kuyaleta mavuno mengi nyumbani kwa bwana
sisi wanawake ni kanisa na ndio wenye jukumu zaidi ya kulea kanisa na jamii, Hivyo huduma hiyo
itawasogeza wengi mikononi mwa Bwana. " Alisma Dorithy Ngaja.
Eidha kiongozi huyo wa kanisa hilo, ameitambulisha logo/nembo itakoyo tumika katika shughuli
zote zitakazo fanywa na FMM.
FMM Logo |
Pia wameambatanisha na kauli mbiu ya nembo hiyo Kwa ." MKAMATE SANA ELIMU USIMWACHE AENDE ZAKE.
Ikiwa ni moja ya lengo kuu la huduma hiyo.
0 Comments