Now!! On YouTube. Listen, stream & download!! Available in all digital platforms @MfalmePharao
"Paradise By Mfalme Pharao"Produced By Bee
Cr. Sampa Music Africa Mfalme Pharao Signed Under SAMPA MUSIC AFRICA Record Label & Management Company. @SampaMusicAfrica #MfalmePharao #Paradise #KingOfSwahiliRhumba #SampaMusicAfrica.
WIMBO HU UNAITWA PARADISE NI WIMBO WENYE HUSIA MZURI KWA WANANDOA NA WAPENDANAO NI VEMA KUUSIKILIZA NA KUBEBA UJUMBE ULIOMO KWA BABA NA MAMA ILI KUWEZA KUIMARISHA NDOA NA KUIFANYA IOTE MIZIZI ILI ISIJE IKAKUMBWA NA DHOLUBA NA KISHA IKAENDA NA MAJI.
KWA WANANDO NA WAPENDA NAO NI VEMA KUSIKILIZA MUSIZIKI UTAKAO IJENGA NDOA YENU NA KUIFANYA IWE IMARA ZAIDI MLIAPA KIWATENGANISHE KIFO BASI NA IWE HIVO NA MUISHI KWA AMANI NA UPENDO HILI NDIO AGIZO LA MUNGU WETU ALIE JUU
AMBAE YEYE NDIE MUWEZA WA YOTE LILI SHINDIKANA KWA MWANADAMU KWAKE LINAWEZAKANA
TULINDE NDOA ZETU.
0 Comments